Sherehe za kumbu
kumbu ya sikuu ya muhungani zinanukia kwa kila
mtanzania aliye nje au ndani ya nchi,ni sikukuu
ya kumbu kumbu ya kitendo cha kihistoria kilichotuhunganisha
watanganyika na wazanzibar ikazaliwa Tanzania
nasi tukaitwa watanzania jina au uraia ambao ukienda
popote duniani na kujitambulisha hivyo basi utapata
heshima ya hali ya juu! kuwa umetoka katika nchi
ya waungwana wasio kubali kutawaliwa! pia kugawanywa...
Habari
zaidi
MAHAKAMA
ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imeyatupilia
mbali maombi ya kutaka kesi inayomkabili mkurugenzi
wa zamani wa Utawala na Utumishi Benki Kuu ya Tanzania
(BoT)...
Habari
zaidi
WAFANYAKAZI
kadhaa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wako
kwenye wasiwasi wa kupoteza ajira zao baada ya mamlaka
hiyo kuanza kutumia teknolojia ya mtandao ya Asy-Scan...
Habari
zaidi
PAMBABO
LA YANGA,SIMBA KIINGILIO SH5,000 HADI SH50,000
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio
vya mchezo wa ligi kuu kati ya Simba na Yanga uliopangwa
kufanyika Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam. Katibu Mkuu wa TFF, Frederick Mwakalebela alivitaja
viingilio hivyo kuwa ni Sh,50,000... habari
zaidi
KOMBE
LA TAIFA NETIBOLI PWANI WAWIKA, TMK, KINONDONI HOI
WENYEJI wa michuano ya Kombe la Taifa kwa mchezo wa netiboli
timu ya Pwani jana imeendelea kutoa kipigo mfululizo kwa
wapinzani wake baada ya kuitandika Arusha jumla ya magoli
35 -16. katika
mashindano hayo yanayoendelea mkoani hapa...
habari
zaidi
SIMBA
WANUSURIKA KUTEKWA
WACHEZAJI wa Simba nusura watekwe na majambazi Jumatano
usiku kama si jitihada za polisi kufyatua risasi hewani
na kuwakibiza maharamia hao. Simba iliondoka jijini Dar
es Salaam Jumatano asubuhi wiki hii kwenda Bukoba kwa ajili
ya mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar utakopigwa kesho Jumapili
kwenye Uwanja wa Kaitaba... habari
zaidi